Wachezaji wa Kigeni wa Simba Wanaoondoka Dirisha Dogo la Usajili 2025/26

Wachezaji wa Kigeni wa Simba Wanaoondoka Dirisha Dogo la Usajili 2025/26 | Klabu ya Simba Sports Club inaendelea kufanya marekebisho ya kikosi chake katika dirisha dogo la usajili la msimu wa 2025/2026, huku baadhi ya wachezaji wa kigeni wakiondoka rasmi na wengine wakitarajiwa kuachwa au kutolewa kwa mikopo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, mabadiliko hayo yanalenga kuimarisha kikosi na kuendana na mahitaji ya benchi la ufundi pamoja na kanuni za usajili.

Wachezaji wa Kigeni wa Simba Wanaoondoka Dirisha Dogo la Usajili 2025/26

Orodha ya Wachezaji wa Kigeni Wanaoondoka au Kuachwa:

  • Jean Ahoua: Ameuzwa rasmi kwenda klabu ya CR Belouizdad ya Algeria.
  • Steven Mukwala: Ameuzwa na kujiunga na klabu ya Al Nasser ya Libya.
  • Mutale: Anatarajiwa kutolewa kwa mkopo ili kupata muda zaidi wa kucheza.
  • Chamou: Naye yupo katika mpango wa kutolewa kwa mkopo dirisha hili.
  • Camara: Ameondolewa kwenye mfumo wa klabu, jambo linaloashiria hatma yake kuondoka Simba SC.
Wachezaji wa Kigeni wa Simba Wanaoondoka Dirisha Dogo la Usajili 2025/26
Wachezaji wa Kigeni wa Simba Wanaoondoka Dirisha Dogo la Usajili 2025/26

Hatua hizi zinaonyesha mwelekeo wa Simba SC katika kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni na kutoa nafasi kwa usajili mpya au wachezaji waliopo kupata nafasi zaidi. Mashabiki wanashauriwa kufuatilia taarifa rasmi za klabu kwa uthibitisho wa mwisho na mabadiliko yoyote yatakayojitokeza kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.

CHECK ALSO:

  1. Yanga SC Kuivaa Al Ahly Cairo Januari 23
  2. Kikosi cha Simba Kinachosafiri kwenda Tunisia Vs Espérance
  3. FIFA World Rankings Africa Top National Football Teams
  4. Clatous Chama Arejea Rasmi Simba SC