Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026 | Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya michezo ya Hatua ya Makundi, Mechi ya Nne kati ya Sita (Matchday 4 of 6) ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2025/2026. Michezo hii ni muhimu kwa timu zinazopambana kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Kwa ujumla, raundi hii itachezwa Ijumaa tarehe 30 Januari na Jumamosi tarehe 31 Januari, huku baadhi ya mechi zikiwa bado hazijatangaziwa saa rasmi ya kuanza (TBD).

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026
Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026

Ijumaa, 30 Januari 2026

  • Pyramids vs RS Berkane
    🕘 Saa: 19:00

  • Petro de Luanda vs Stade Malien
    🕖 Saa TBD

  • Rivers Utd vs Power Dynamos
    🕖 Saa 19:00

  • MC Alger vs Saint-Éloi Lupopo
    🕘 Saa: 19:00

  • Simba SC vs ES Tunis
    🕙 Saa 16:00

Jumamosi, 31 Januari 2026

  • Al-Hilal vs Mamelodi Sundowns
    🕓 Saa 22:00

  • Young Africans (Yanga SC) vs Al Ahly
    🕙 Saa 16:00

  • AS FAR vs JS Kabylie
    🕘 Saa: 22:00

CHECK ALSO:

  1. Kikosi cha Yanga Leo Vs Al Ahly 23/01/2026
  2. Matokeo ya Al Ahly Vs Yanga Leo 23/01/2026
  3. Al Ahly Vs Yanga Leo Saa Ngapi? 23/01/2026
  4. Wachezaji wa Kigeni wa Simba Wanaoondoka Dirisha Dogo la Usajili 2025/26