Ratiba ya Yanga CAF 2026 Ligi ya Mabingwa Afrika

Ratiba ya Yanga CAF 2026 Ligi ya Mabingwa Afrika | Baada ya kurejea jijini Dar es Salaam wakitokea nchini Misri, klabu ya Yanga SC imebadilishiwa ratiba yake ya michezo, huku ikitarajiwa kuanza na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kabla ya kurejea kwenye majukumu ya kimataifa.

Baada ya mchezo huo wa ligi, Yanga SC itasafiri kwenda Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) dhidi ya Al Ahly, unaotarajiwa kuchezwa tarehe Januari 31.

Ratiba ya Yanga CAF 2026 Ligi ya Mabingwa Afrika

Mechi ya 1 (Matchday 1 of 6)
📅 Novemba 22
🕔 Saa 5:00 jioni
Young Africans SC 1–0 AS FAR (Morocco)
(Mechi tayari imechezwa)

Mechi ya 2 (Matchday 2 of 6)
📅 Novemba 28
JS Kabylie 0–0 Young Africans SC
(Mechi tayari imechezwa)

Ratiba ya Yanga CAF 2026 Ligi ya Mabingwa Afrika
Ratiba ya Yanga CAF 2026 Ligi ya Mabingwa Afrika

Mechi ya 3 (Matchday 3 of 6)
📅 Januari 23
Al Ahly 2–0 Young Africans SC
(Mechi tayari imechezwa)

Mechi ya 4 (Matchday 4 of 6)
📅 Jumamosi, Januari 31
🕓 Saa 10:00 jioni
Young Africans SC vs Al Ahly
📍 New Amaan Complex, Zanzibar

Mechi ya 5 (Matchday 5 of 6)
📅 Ijumaa, Februari 6
🕖 Saa 1:00 usiku
AS FAR vs Young Africans SC
📍 Ugenini

Mechi ya 6 (Matchday 6 of 6)
📅 Februari 13
Muda bado kutangazwa
Young Africans SC vs JS Kabylie
📍 Nyumbani

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Simba CAF 2026 Ligi ya Mabingwa Afrika
  2. Bongo Fighting Kupigwa Januari 31 The Super Dome Masaki
  3. Yanga vs Al Ahly Mechi ya Marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika
  4. Kikosi cha Yanga Leo vs Dodoma Jiji 27 Januari 2026