Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 NECTA: Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne (CSEE) wa mwaka 2025. Mtihani huo ulifanyika kuanzia Novemba 17, 2025, na matokeo yametangazwa leo Jumamosi, Januari 31, 2026.
Akizungumza wakati wa kutangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohammed, alisema kuwa matokeo yanaonesha ongezeko la ufaulu ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Kwa mujibu wa NECTA, jumla ya watahiniwa 569,883 walishiriki mtihani huo wakiwa wamesajiliwa katika shule 5,864 kote nchini. Aidha, watahiniwa wa kujitegemea 25,927 waliosajiliwa katika vituo 813 pia walifanya mtihani huo.
Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 NECTA
|
CLICK ANY LETTER BELOW TO FILTER CENTRES BY ALPHABET |
|
|






Weka maoni yako