Mwisho wa Kutuma Maombi Ajira za Kazi Jeshi la Uhamiaji | Maombi ya Ajira Mpya ya Idara ya Uhamiaji yamefunguliwa rasmi kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji ametangaza nafasi hizi kwa mujibu wa Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za mwaka 2018.
Mwisho wa Kutuma Maombi Ajira za Kazi Jeshi la Uhamiaji
Kwa mujibu wa tangazo rasmi la ajira lililotolewa, mwisho wa kutuma maombi kwa vijana wote waliokidhi vigezo umewekwa kuwa tarehe 13 Desemba 2024, na zoezi hili linafanyika kwa njia ya mtandao kupitia tovuti rasmi ya Idara ya Uhamiaji.
Tarehe Muhimu Kuhusu Ajira Mpya jeshi la Uhamiaji
- Kuanzia: 29 Novemba 2024
- Mwisho: 13 Desemba 2024
ANGALIA PIA:
Weka maoni yako