KIKOSI cha Simba Leo vs Esperance de Tunis 01/02/2026

KIKOSI cha Simba Leo vs Esperance de Tunis 01/02/2026: Simba SC Aikaribisha Esperance de Tunis Leo Ligi ya Mabingwa Afrika.

Klabu ya Simba SC leo itashuka dimbani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kuwakabili Esperance de Tunis ya Tunisia katika mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huu muhimu unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Mechi hii ni sehemu ya hatua muhimu ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo kila timu inapambana kuhakikisha inapata matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo mikubwa barani Afrika.

Kwa upande wa Simba SC, mchezo wa leo una umuhimu mkubwa, hasa kwa kuwa unachezwa nyumbani mbele ya mashabiki wake. Ushindi katika mchezo huu utaongeza nafasi ya klabu hiyo ya Tanzania kuendelea kufanya vizuri katika hatua zinazofuata za mashindano.

KIKOSI cha Simba Leo vs Esperance de Tunis 01/02/2026

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza leo dhidi ya ES Tunis:-

KIKOSI cha Simba Leo vs Esperance de Tunis 01/02/2026
KIKOSI cha Simba Leo vs Esperance de Tunis 01/02/2026
  • Kassali
  • Kapombe
  • Nangu
  • De Ruck
  • Kibabage
  • Kagoma
  • Kante
  • Chama Jr
  • Kibu
  • Oura
  • Gueye

Simba SC imekuwa na rekodi nzuri inapocheza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, hali inayotoa matumaini kwa mashabiki wake. Hata hivyo, timu inalazimika kucheza kwa umakini mkubwa kutokana na uzoefu na nguvu ya Esperance de Tunis katika michuano ya CAF.

Esperance de Tunis ni moja ya klabu kubwa na zenye uzoefu mkubwa barani Afrika. Timu hiyo ina historia ndefu ya mafanikio katika Ligi ya Mabingwa Afrika, jambo linaloifanya kuwa mpinzani mgumu kwa Simba SC.

Licha ya kucheza ugenini, Esperance inatarajiwa kuingia uwanjani kwa malengo ya kupata matokeo chanya, ikitumia uzoefu wa wachezaji wake na mbinu za kiufundi/KIKOSI cha Simba Leo vs Esperance de Tunis 01/02/2026.

CHECK ALSO:

  1. MATOKEO ya Simba vs Esperance de Tunis Leo 01/02/2026
  2. Simba vs Esperance de Tunis Leo Saa Ngapi? 01/02/2026
  3. Yanga wamsajili winga Buba Jammeh
  4. Balla Conte Ajiunga na Raja Casablanca kwa Mkopo wa Miezi Sita