Matokeo ya MC Alger vs Yanga SC Leo 07/12/2024 |Matokeo ya Yanga leo dhidi ya MC Alger Klabu Bingwa
Yanga SC, mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania, wanatarajiwa kushika dimbani kucheza mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika leo Desemba 7, 2024, dhidi ya MC Alger katika uwanja wa kihistoria wa Julai 5, 1962.
Mchezo huu unakuwa muhimu kwa Yanga ambao wameanza hatua ya mkakundi kwa kichapo nyumbani, ikizingatiwa rekodi za wapinzani wao kwenye michezo ya nyumbani hazijajaa mafanikio. Takwimu za MC Alger zinaonesha udhaifu wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani, jambo linalotoa matumaini makubwa kwa Yanga kupata matokeo chanya.
Matokeo ya MC Alger vs Yanga SC Leo 07/12/2024
๐ #CAFCL
โฝ๏ธ MC Alger๐Young Africans SC
๐ 07.12.2024
๐ 5 July 1962
๐ 8pm๐ฉ๐ฟ 10pm๐น๐ฟ
ANGALIA PIA:
Weka maoni yako