Matokeo ya Mechi za Leo CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Matokeo ya Mechi za Leo CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 | Michuano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB 2024/2025 imefikia raundi ya nne, huku timu kadhaa zikionyesha ushindani mkubwa wa kutafuta tiketi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo muhimu ya soka nchini Tanzania.

Matokeo ya Mechi za Leo CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Mechi zilizochezwa zimetoa matokeo ya kusisimua, huku baadhi ya timu zikishinda kwa mikwaju ya penalti.

Matokeo Kamili ya Raundi ya Nne CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Matokeo ya Mechi za Leo CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Matokeo ya Mechi za Leo CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Jumapili, Aprili 13 | Saa 10:00 Jioni

Simba SC 3-1 Mbeya City

Jumatatu, Aprili 14 | Saa 10:00 Jioni

JKT Tanzania 3-1 Pamba Jiji
Singida B.S 2-0 Kagera Sugar

Jumanne, Aprili 15 | Saa 10:00 Jioni

Yanga SC 8-1 Stand United

Kufuatia mechi hizi za raundi ya nne, timu zitakazoshinda zitasubiri upangaji wa michezo ya raundi inayofuata ambapo ushindani unatarajiwa kuongezeka. Mashabiki wa soka wa Tanzania wanatarajia kuona nani atafika mbali zaidi katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB 2024/2025.

Kwa taarifa zaidi juu ya ratiba na matokeo ya michuano hii, endelea kuwa karibu kupata taarifa kadri zinavyotangazwa/Matokeo ya Mechi za Leo CRDB Bank Federation Cup 2024/2025.

CHECK ALSO: