Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2024-2025

Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2024-2025 | Huu Hapa Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar (PBZ Premier League) 2024/2025

Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ Premier League) msimu wa 2024/2025 inaendelea kushika kasi huku timu zikipambana kuwania nafasi za juu kwenye msimamo. Baada ya mechi 19 au 20 kwa baadhi ya timu, Mlandege FC, KVZ FC na Mafunzo FC zinaendelea kuonyesha ushindani mkali, lakini M/Makumbi City imekamata nafasi ya kwanza kwa kujikusanyia pointi 41.

Katika mpambano huo wa kushuka daraja timu za Mwenge SC, New City FC, Inter Zanzibar na Tekeleza FC zinakabiliwa na hali ngumu kutokana na matokeo mabaya, na Tekeleza FC ina pointi 3 pekee baada ya michezo 19.

Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2024-2025

Huu hapa ndio msimamo kamili wa ligi hadi sasa:

#TEAMPWDLGFGAGDPTS
1M/MAKUMBI CITY21135332151744
2MLANDEGE FC21108336152138
3MAFUNZO FC21115531151638
4KVZ FC219102178937
5JKU SC2199339172236
6ZIMAMOTO SC2110563122935
7UHAMIAJI FC218942217533
8MALINDI SC218852115632
9KMKM SC218762418631
10KIPANGA FC217862117429
11CHIPUKIZI UNITED2161051716128
12JUNGUNI UNITED216871821-326
13MWENGE SC2163121740-2321
14NEW CITY FC2144131526-1116
15INTER ZANZIBAR2122181456-425
16TEKELEZA FC210318542-373
Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2024-2025
Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2024-2025

CHECK ALSO: