Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025

Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025 | Ligi kuu ya NBC Tanzania msimu wa 2024/2025 inaendelea kwa kasi na mashabiki wa soka wanashuhudia ushindani mkubwa kati ya vilabu vya wanastori na wale wanaotaka kujiimarisha kwenye medani ya soka nchini Tanzania.

Msimu huu mashabiki wa soka watakuwa na burudani mbalimbali huku kila timu ikijitahidi kujiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa michuano hiyo. Hapa tutakuletea msimamo wa ligi katika kila hatua, kwa kuzingatia matokeo ya mechi, idadi ya pointi, mabao ya kufunga na kufungwa.

Msimu wa 2024/2025 unatarajiwa kuwa wa kusisimua zaidi, huku timu zikifanya usajili wa nguvu na kujiandaa kuwania taji la ubingwa. Je, Yanga SC wataweza kutetea ubingwa wao? Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025

Je, Azam FC na Simba SC wataweza kuwaondoa Yanga kileleni? Je, tutaziona timu nyingine zikiibuka washindani wenye nguvu? Maswali haya na mengine mengi yatajibiwa msimu huu ukiendelea.

Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025
Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025

Mashabiki wa soka wa Tanzania wana kila sababu ya kutarajia msimu uliojaa msisimko, ushindani mkali na mambo mengi ya kushangaza. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025, Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 inaahidi kuwa msimu ambao hautakumbukwa kwa matokeo yake tu, bali pia kwa ubora wa soka utakaochezwa.

Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025

Pos Timu P W D L GF GA GD Pts
1 Yanga 22 19 1 2 58 9 49 58
2 Simba 21 17 3 1 46 8 38 54
3 Azam FC 22 13 6 3 32 12 20 45
4 Singida Black Stars 22 12 5 5 31 19 12 41
5 Tabora 22 10 7 5 26 26 0 37
6 JKT Tanzania 22 6 9 7 16 16 0 27
7 Dodoma Jiji FC 21 7 5 9 22 27 -5 26
8 Fountain Gate 22 7 4 11 26 39 -13 25
9 Coastal Union 22 5 9 8 18 23 -5 24
10 KMC 22 6 6 10 15 32 -17 24
11 Mashujaa FC 22 5 8 9 17 26 -9 23
12 Namungo FC 22 6 5 11 16 27 -11 23
13 Pamba 22 5 7 10 13 23 -10 22
14 Tanzania Prisons 22 4 6 12 12 27 -15 18
15 Kagera Sugar 22 3 7 12 16 30 -14 16
16 Kengold FC 22 3 6 13 18 38 -20 15

CHECK ALSO: