Ratiba ya NBC Premier League 2025 Mzunguko wa 23 | Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2025) inazidi kupamba moto, huku mechi za Raundi ya 23 zikitarajiwa kuanza kutimua vumbi Machi 5, 2025 na kumalizika Machi 8, 2025.
Mashabiki wa soka wanatarajia burudani kali kutoka kwa timu zinazoshiriki ligi hiyo, macho na masikio yao yakiwa yameelekezwa kwenye pambano la Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC.
Ratiba ya NBC Premier League 2025 Mzunguko wa 23
Machi 5, 2025
🕓 16:00 – Kengold FC 🆚 Mashujaa FC (Sokoine Stadium – Mbeya)
Machi 6, 2025
🕓 16:00 – KMC FC 🆚 Fountain Gate (KMC Complex – Dar es Salaam)
🕖 19:00 – Namungo FC 🆚 Singida BS (Majaliwa Stadium – Lindi)
🕘 21:00 – Azam FC 🆚 Tanzania Prisons (Azam Complex – Dar es Salaam)

Machi 7, 2025
🕓 16:00 – Tabora United 🆚 JKT Tanzania (CCM Kirumba – Mwanza)
🕖 19:00 – Kagera Sugar 🆚 Pamba Jiji (Kaitaba Stadium – Kagera)
🕘 21:00 – Dodoma Jiji 🆚 Coastal Union (Jamhuri Stadium – Dodoma)
Machi 8, 2025
 19:15 – Young Africans (Yanga SC) 🆚 Simba SC (Benjamin Mkapa – Dar es Salaam)
Ingawa mechi nyingine zote ni muhimu, mechi inayotarajiwa zaidi ni ile ya Kariakoo derby kati ya Yanga SC na Simba SC itakayochezwa Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Usikose mchezo huu kwani ndio utakaoamua nani atapata ubabe jijini na kujiweka katika mazingira mazuri ya kuwania ubingwa.
Nani ataibuka kidedea?
Kulingana na msimamo wa ligi na rekodi za hivi karibuni, mashabiki wanatarajia mechi ngumu ambapo timu zitajitahidi kupata matokeo mazuri. Je, Simba SC wataweza kufuta rekodi yao mbaya dhidi ya Yanga SC au Yanga itaendeleza ubabe wao? Ratiba ya NBC Premier League 2025 Mzunguko wa 23.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako