Azam FC vs Al Merriekh Bentiu Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?

Azam FC vs Al Merriekh Bentiu Leo 20/09/2025 Saa Ngapi? Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika CAF CC 2025/26.

Klabu ya Azam FC ya Tanzania inaanza ushiriki wake katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025/26 Jumamosi hii dhidi ya Al Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini. Hii ni mechi ya kwanza ya raundi ya awali, ambapo Azam inatarajia kupata matokeo ya nguvu ili kusonga mbele.

Azam FC imejiimarisha katika soka la kimataifa, na mechi hii ni fursa ya kudhihirisha ubora wake barani Afrika. Ushindi wa ugenini utawapa fursa nzuri kabla ya mechi ya marudiano, itakayochezwa Dar es Salaam, Tanzania.

Ingawa Azam FC wanaonekana kuwa na nguvu, mechi za ugenini huwa na changamoto. Mashabiki wanasisitiza kuwa Azam inahitaji nidhamu ya hali ya juu, umakini na kutumia vyema kila fursa ili kupata matokeo chanya kabla ya mechi ya marudiano.

Azam FC vs Al Merriekh Bentiu Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?
Azam FC vs Al Merriekh Bentiu Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?

Azam FC vs Al Merriekh Bentiu Leo 20/09/2025 Saa Ngapi?

  • Mechi: Al Merriekh Bentiu πŸ‡ΈπŸ‡Έ vs πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Azam FC
  • Uwanja: Juba International Stadium, Sudan Kusini
  • Tarehe: Jumamosi, Septemba 20, 2025
  • Muda: Saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki

CHECK ALSO:

  1. KIKOSI cha Singida Black Stars Leo Vs Rayon Sports 20/09/2025
  2. Matokeo ya Rayon Sports vs Singida Black Stars Leo 20/09/2025
  3. MATOKEO ya Simba Leo Vs Gaborone 20/09/2025
  4. Kikosi cha Simba vs Gaborone United Leo 20/09/2025