Bei za Vifurushi AzamTV Max App 2025 | Burudani Yote Kiganjani Mwako! Furahia vipindi vyote unavyopenda kupitia AzamTV Max App! Tamthilia, michezo, vipindi vya watoto, na makala za kusisimua vinakungoja – popote ulipo, muda wowote!
Bei za Vifurushi AzamTV Max App 2025
Jinsi ya Kujiunga na AzamTV Max App
✅ Hatua 1: Pakua AzamTV Max App kwenye simu yako.
✅ Hatua 2: Jisajili kwa kujaza taarifa zako sahihi.
✅ Hatua 3: Fanya malipo kulingana na kifurushi unachotaka.

Kwa Wateja wa Kisimbuzi cha AzamTV
Ikiwa tayari unatumia kisimbuzi cha AzamTV, basi kifurushi chako kinapatikana moja kwa moja kwenye AzamTV Max App bila gharama za ziada!
Kwa Wateja Wapya au Wasio na Kadi ya Kisimbuzi
Jiunge moja kwa moja na kifurushi cha AzamTV Max App na ufurahie burudani bila kikomo:
🎥 GOLD – TZS 25,000 / Mwezi
📺 SILVER – TZS 23,000 / Mwezi | TZS 11,000 / Wiki
📡 BRONZE – TZS 16,000 / Mwezi | TZS 5,000 / Wiki
CHECK ALSO:
Weka maoni yako