CAF Yafungua Dirisha la Maombi ya Leseni kwa Klabu za Afrika 2025/2026

CAF Yafungua Dirisha la Maombi ya Leseni kwa Klabu za Afrika 2025/2026 | Mwisho Juni 10. CAF Yatangaza Kufungua Kipindi cha Maombi ya Leseni ya Klabu kwa Mashindano ya 2025/2026

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia kwa Ofisa Habari na Mawasiliano, Cliford Mario Ndimbo, limetoa taarifa rasmi kuhusu ufunguzi wa maombi ya leseni za klabu kwa vilabu kushiriki mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa msimu wa 2025/2026.

CAF Yafungua Dirisha la Maombi ya Leseni kwa Klabu za Afrika 2025/2026

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, maombi yamefunguliwa kuanzia Mei 19, 2025, na yatawasilishwa mtandaoni kupitia kiungo rasmi cha CAF:

CAF Yafungua Dirisha la Maombi ya Leseni kwa Klabu za Afrika 2025/2026

https://clop.cafonline.com

TFF imesisitiza kuwa mwisho wa kutuma maombi ni Juni 10, 2025. Vilabu vyote vinavyotaka kushiriki mashindano ya CAF, yakiwemo Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, vinapaswa kukamilisha taratibu zote ifikapo tarehe hiyo.

CHECK ALSO: