CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25

CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25 – Baada ya Ligi za Mabingwa na Kombe la Shirikisho Kukamilika.

SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limechapisha Orodha rasmi ya Vilabu vya Miaka Mitano ya CAF, kufuatia kukamilika kwa Ligi ya Mabingwa wa CAF na Kombe la Shirikisho la CAF kwa msimu wa 2024/25.

Kiwango hiki kinatumika kupima mafanikio ya vilabu katika mashindano ya kimataifa ya CAF katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Pia husaidia kujua idadi ya vilabu vinavyowakilisha kila nchi katika mashindano ya CAF/CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25.

CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25

Mwaka huu, kiwango hicho kinatokana na mafanikio ya vilabu katika mashindano yafuatayo(CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25):

CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25
CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25

1. Al Ahly — 78 points 🇪🇬
2. Mamelodi Sundowns — 62 points 🇿🇦
3. ES Tunis — 57 points 🇹🇳
4. RS Berkane — 52 points 🇲🇦
5. Simba SC — 48 points 🇹🇿
6. Pyramids — 47 points 🇪🇬
7. Zamalek SC — 42 points 🇪🇬
8. Wydad – 39 points 🇲🇦
9. USM Alger — 37 points 🇩🇿
10. CR Belouizdad — 36 points 🇩🇿
11. Yanga — 34 points 🇹🇿
12. ASEC Mimosas — 33 points 🇨🇮
13. Al Hilal — 32 points 🇸🇩
14. TP Mazembe — 30.5 points 🇨🇩
15. Orlando Pirates — 30 points 🇿🇦
16. Raja Club Athletic — 30 points 🇲🇦
17. Petro Luanda — 27 points
18. AS FAR — 21 points 🇲🇦
19. MC Alger — 18 points 🇩🇿
20. Sagrada Esperanca — 16 points 🇦🇴
21. CS Constantine — 15 points 🇩🇿
21. Stellenbosch — 15 points 🇿🇦
23. Al Masry — 14 points 🇪🇬
23. Rivers United — 14 points 🇳🇬
25. JS Kabylie — 13 points 🇩🇿
26. Dreams FC — 12 points 🇬🇭
27. Stade Malien — 10.5 points 🇲🇱
28. Horoya AC — 10 points 🇬🇳
29. Future FC — 9.5 points 🇪🇬
30. Etoile du Sahel — 9 points 🇹🇳

Kwa mujibu wa CAF, viwango hivyo vinaonyesha muendelezo wa matokeo wa vilabu katika kipindi cha miaka mitano, ambapo pointi hupatikana kutokana na hatua ambazo klabu imefikia katika kila msimu kwenye mashindano ya CAF. Vilabu vilivyofanya vizuri zaidi katika mashindano hayo vina nafasi kubwa ya kuwa juu kwenye orodha hiyo/CAF Yatangaza Viwango Vipya vya Vilabu Afrika 2024/25.

CHECK ALSO: