Chelsea na Real Betis Kucheza Fainali ya UEFA Conference League 2025

Chelsea na Real Betis Kucheza Fainali ya UEFA Conference League 2025: Chelsea FC ya Uingereza na Real Betis ya Uhispania zimefuzu rasmi kwa fainali ya UEFA Conference League 2024/2025 baada ya kupata ushindi wa jumla katika mechi zao za nusu fainali dhidi ya Djurgarden na Fiorentina.

Chelsea na Real Betis Kucheza Fainali ya UEFA Conference League 2025

Katika mkondo wa pili, Chelsea FC iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Djurgarden ya Sweden, na kupata ushindi wa jumla wa mabao 5-1. Bao pekee katika mechi hiyo lilifungwa na Dewsbury-Hall dakika ya 38, na kuwaweka Chelsea katika nafasi nzuri ya kushinda taji lao la kwanza katika mashindano haya mapya ya UEFA.

Kwingineko, kulikuwa na mechi ya kusisimua kati ya Fiorentina na Real Betis FC, ambayo iliisha kwa sare ya 2-2 baada ya muda wa ziada.

Betis ilifuzu kwa ushindi wa jumla wa 4-3.
Betis walifunga kupitia kwa Antony (30′) na Ezzalzouli (98′), huku Gosens akifunga mabao mawili kwa Fiorentina dakika ya 34 na 42.

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 ExtraTime: Conference League
[AGG 3-4 ]

FIORENTINA 🇮🇹 2-2 REAL BETIS FC 🇪🇸
⚽️ 34” Gosens
⚽️ 42” Gosens.

⚽️ 30” Antony
⚽️98” Ezzalzouli

Chelsea na Real Betis Kucheza Fainali ya UEFA Conference League 2025
Chelsea na Real Betis Kucheza Fainali ya UEFA Conference League 2025

◽️𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : Conference League
[ AGG 5-1 ]

CHELSEA FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 1-0 DJURGARDEN 🇸🇪
⚽️ 38” Dewsbury

FAINALI CONFERENCE LEAGUE
MAY 28 🏟 22:00
Real Betis FC 🇪🇸 vs Chelsea FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Fainali ya Ligi ya Mikutano ya UEFA ya 2025 sasa itachezwa Mei 28, 2025, saa 4:00 Usiku (10:00 Jioni), ambapo Real Betis FC itamenyana na Chelsea FC katika ukumbi utakaotangazwa rasmi na UEFA/Chelsea na Real Betis Kucheza Fainali ya UEFA Conference League 2025.

Fainali kati ya Real Betis na Chelsea inatarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu, ikizingatiwa historia, ubora wa vikosi, na kiu ya kila timu kuwania taji la UEFA Conference League. Mechi hii ni fursa muhimu kwa vilabu vyote viwili kutengeneza historia mpya barani Ulaya.

CHECK ALSO: