CV ya Issa Fofana Mchezaji wa Azam 2025/26

CV ya Issa Fofana Mchezaji wa Azam 2025/26: Issa Fofana Asaini Azam FC kwa Miaka Miwili, Aungana na Kocha Florent Ibenge.

CV ya Issa Fofana Mchezaji wa Azam 2025/26

Azam FC imekamilisha usajili wa golikipa wa kimataifa wa Ivory Coast, Issa Fofana, aliyejiunga na klabu hiyo akitokea Al Hilal ya Sudan. Kipa huyo mzoefu amesaini kandarasi ya miaka miwili inayomweka Wanalambalamba hadi 2027.

Hatua hii inamrudisha Fofana chini ya ulezi wa meneja wake wa zamani, Florent Ibenge, ambaye hapo awali alifanya naye kazi Al Hilal. Ushirikiano wake wa awali unatarajiwa kuimarisha safu ya ulinzi ya Azam FC, hasa katika mashindano ya ndani na nje ya nchi.

Fofana anayesifika kwa uwezo wake wa kuokoa michomo migumu na uwezo wake wa kupanga safu ya ulinzi, anatarajiwa kuleta ushindani mkubwa kwa kipa huyo. Usajili huu ni mkakati wa Azam FC kuimarisha kikosi chake na kuwania mataji msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC na mashindano mengine.

CV ya Issa Fofana Mchezaji wa Azam 2025/26
CV ya Issa Fofana Mchezaji wa Azam 2025/26

Date of birth/Age: 30.01.2004 (21)
Height: 1,90 m
Citizenship: Cote d’Ivoire
Position: Goalkeeper
Foot: right
Player agent: ELIFA
Current club: Azam FC
Fomer Club: Al-Hilal Club (Omdurman)
Joined: 13.08.2025
Contract expires: 30.06.2027

Mashabiki wa Azam FC wanatumai Fofana ataleta mabadiliko makubwa ya golikipa na kuchangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya timu hiyo. Usajili huu pia unawakilisha dhamira ya klabu kuendelea kuwekeza kwa wachezaji wenye ubora wa kimataifa ili kufikia malengo yake ya muda mfupi na mrefu.

CHECK ALSO:

  1. Simba SC Yafanya Usajili Mkubwa, Hawa Hapa Wachezaji wa Kigeni Wapya
  2. MATOKEO ya Yanga Leo Vs Rayon Sport 15/08/2025
  3. KIKOSI Cha Yanga Leo Vs Rayon Sport 15/08/2025
  4. CV ya Naby Camara Mchezaji wa Simba 2025/26