CV ya Morice Abraham Mchezaji wa Simba SC 2025/2026

CV ya Morice Abraham Mchezaji wa Simba SC 2025/2026: Simba Sports Club imekamilisha usajili wa beki wa kati Morice Abraham ambaye sasa atacheza Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili. Usajili huu ni sehemu ya maandalizi ya klabu kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara na mashindano ya kimataifa.

Moric Abraham, ambaye aling’ara katika klabu ya KMC FC, anachukuliwa kuwa mmoja wa mabeki mahiri waliodhihirisha kipaji chake katika ligi ya taifa. Ujio wake Simba SC unaonekana kuwa nyongeza muhimu kwenye safu ya ulinzi ya timu hiyo ambayo imekuwa ikiboresha kikosi chake kupitia usajili wa kimkakati.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na klabu hiyo, mkataba huo wa miaka miwili unamjumuisha Morice kwenye mipango ya muda mrefu ya Simba SC, ambayo inalenga kurudisha utawala wake katika mashindano ya ndani na Afrika kwa ujumla.

CV ya Morice Abraham Mchezaji wa Simba SC 2025/2026

CV ya Morice Abraham Mchezaji wa Simba SC 2025/2026
CV ya Morice Abraham Mchezaji wa Simba SC 2025/2026

Abraham ni mchezaji wa zamani wa akademi ya vijana Alliance ya Mwanza . Mnamo Septemba 2021, alisaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Spartak Subotica nchini Serbia . Alianza kucheza kwa mara ya kwanza katika klabu hiyo mnamo 28 Novemba 2021 katika kichapo cha 3-0 dhidi ya Red Star Belgrade .

CHECK ALSO:

  1. CV ya Andy Boyeli Mchezaji Mpya wa Yanga 2025/2026
  2. Andy Boyeli Ajiunga Rasmi na Yanga kwa Msimu Mpya 2025/2026
  3. Jezi za Simba za Michezo ya Kirafiki Pre Season 2025
  4. Jezi Mpya za Simba SC 2025/2026