Everton Yamsajili Grealish kwa Mkopo Kutoka Manchester City

Everton Yamsajili Grealish kwa Mkopo Kutoka Manchester City: Klabu ya Everton FC imetangaza rasmi kumsajili winga wa kimataifa wa Uingereza Jack Grealish kwa mkopo kutoka Manchester City, huku kukiwa na kipengele cha kumnunua kwa ada inayokadiriwa kufikia pauni milioni 50.

Everton Yamsajili Grealish kwa Mkopo Kutoka Manchester City

Grealish mwenye umri wa miaka 29 atakuwa sehemu ya kikosi cha Everton kwa msimu mpya wa Ligi Kuu na anatarajiwa kuimarisha safu ya ushambuliaji ya klabu hiyo kwa ubunifu na kasi yake uwanjani.

Everton Yamsajili Grealish kwa Mkopo Kutoka Manchester City

Mchezaji huyo atavaa jezi namba 18, jezi yenye historia tele katika klabu ya Everton, inayovaliwa na wachezaji maarufu kama Paul Gascoigne na Wayne Rooney kwa nyakati tofauti katika historia ya klabu hiyo.

Usajili wa Grealish unatarajiwa kuongeza ushindani wa kikosi cha Everton, na meneja na mashabiki wanatarajia kuona matokeo chanya kwenye matokeo ya timu hiyo.

CHECK ALSO:

  1. UEFA Super Cup 2025, PSG vs Tottenham Hotspur Leo Agosti 13
  2. Yanga Vs Rayon Sports Saa Ngapi 15/08/2025
  3. Yanga SC Kukipiga na Rayon Sports Agosti 15
  4. Kenya Yaibuka na Ushindi wa 1-0 Vs Morocco Licha ya Kucheza Pungufu
  5. Magoli Mawili ya Clement Mzize Yaweka Rekodi Mpya kwa Taifa Stars CHAN