FIFA Club World Cup 2025, Al Ahly Wafungashiwa Virago

FIFA Club World Cup 2025, Al Ahly Wafungashiwa Virago | Michuano ya Kombe la Dunia ya Vilabu ya FIFA ya 2025 iliendelea kwa ushindani mkali asubuhi ya Juni 25, 2025, wakati wababe wa Afrika, Al Ahly SC ya Misri walipotolewa katika hatua ya makundi licha ya matokeo mazuri na sare ya 4-4 dhidi ya FC Porto ya Ureno.

Katika mechi hiyo ya kusisimua, mshambuliaji nyota wa Al Ahly, Abou Ali alifunga hat trick, lakini haikutosha kuwaokoa na kuondolewa.

FIFA Club World Cup 2025, Al Ahly Wafungashiwa Virago

πŸ”Ή FC Porto πŸ‡΅πŸ‡Ή 4-4 πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Ahly

⚽ 15’ Abou Ali
⚽ 23’ Mora
⚽ 45+2’ Abou Ali (pen)
⚽ 50’ Gomes
⚽ 51’ Abou Ali
⚽ 53’ Samu
⚽ 64’ Romdhane
⚽ 89’ PepΓͺ

FIFA Club World Cup 2025, Al Ahly Wafungashiwa Virago

πŸ”Ή Inter Miami πŸ‡ΊπŸ‡Έ 2-2 πŸ‡§πŸ‡· Palmeiras

⚽ 16’ Allende (Inter Miami)
⚽ 65’ Luis SuΓ‘rez (Inter Miami)
⚽ 80’ Paulinho (Palmeiras)
⚽ 87’ Maurici (Palmeiras)

Inter Miami, inayonolewa na Lionel Messi, ilitinga hatua ya 16 bora baada ya kutoka sare ya kuridhisha dhidi ya Palmeiras ya Brazil. Huu ni mwendelezo mkali kwa klabu ya Marekani katika kampeni yake ya kimataifa.

CHECK ALSO:

  1. Hawa Hapa Waamuzi wa Mechi ya Yanga vs Simba 25/06/2025
  2. Waamuzi wa Kimataifa wa Misri Kusimamia Mechi ya Yanga vs Simba 25 Juni 2025
  3. Viingilio Mechi ya Yanga vs Simba 25 Juni 2025
  4. Wallace Karia Ashinikizwa Kujiuzulu Nafasi ya Uraisi TFF