Form One Selection 2025/2026 Shule Walizopangiwa Darasa La Saba

Form One Selection 2025/2026 Shule Walizopangiwa Darasa La Saba | UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025.

Serikali imethibitisha kuwa jumla ya wanafunzi 937,581, sawa na asilimia 100 ya waliohitimu darasa la saba mwaka 2025 na kupata alama kati ya 121 hadi 300, wamechaguliwa kuanza masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2026. Taarifa hii imetolewa Desemba 4, 2025 na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe, katika mkutano na waandishi wa habari.

Uchaguzi huu umefanyika kwa kuzingatia miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ikihakikisha kila mwanafunzi mwenye sifa anapata nafasi katika shule za Serikali.

Form One Selection 2025/2026 Shule Walizopangiwa Darasa La Saba

Form One Selection 2025/2026 Shule Walizopangiwa Darasa La Saba
Form One Selection 2025/2026 Shule Walizopangiwa Darasa La Saba

BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA

ARUSHA

DAR ES SALAAM

DODOMA

GEITA

IRINGA

KAGERA

KATAVI

KIGOMA

KILIMANJARO

LINDI

MANYARA

MARA

MBEYA

MOROGORO

MTWARA

MWANZA

NJOMBE

PWANI

RUKWA

RUVUMA

SHINYANGA

SIMIYU

SINGIDA

SONGWE

TABORA

TANGA

Takwimu rasmi zinaonyesha mgawanyo ufuatao:

  • Wasichana: 508,477

  • Wavulana: 429,104

  • Wenye Mahitaji Maalum: 3,228 (Wasichana 1,544; Wavulana 1,684)

  • Jumla ya Shule Walizopangiwa: Shule za Sekondari za Serikali 5,230

Uteuzi wa wanafunzi 937,581 kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2026 unaonyesha dhamira ya Serikali kusimamia upatikanaji wa elimu bila malipo kwa watoto wote wenye sifa. Ushirikiano wa wazazi, jamii na taasisi za elimu utahitajika ili kuhakikisha wanafunzi wanaanza masomo kwa wakati na kupata mazingira mazuri ya kujifunzia.

CHECK ALSO:

  1. Matokeo ya Darasa la Saba na Shule Walizopangiwa 2025/2026
  2. Lini Yanatangazwa Matokeo ya Darasa La Saba 2025 NECTA?
  3. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba 2025
  4. Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Yanatoka Lini?