Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England | Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, anaendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu England kwa kuongoza mbio za kiatu cha dhahabu msimu huu. Hadi sasa, Haaland ameweza kufunga mabao 17, idadi inayomweka kileleni mwa orodha ya wafungaji bora.
Haaland anafuatwa kwa ukaribu na Thiago Igor wa Brentford, ambaye ameonesha kiwango kizuri cha ufungaji akiwa na jumla ya mabao 11. Ushindani kati ya washambuliaji hawa unaendelea kuongezeka kadri msimu unavyosonga mbele/Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England.
Wachezaji wengine wanaoendelea kupambana katika mbio hizi ni pamoja na Phil Foden wa Manchester City na Hugo Ekitike, ambao kila mmoja ameweza kufunga mabao 7. Ingawa pengo la mabao bado ni kubwa, uwepo wao unaongeza ushindani katika orodha ya wafungaji bora wa ligi.
Haaland Aendelea Kuongoza Mbio za Kiatu cha Dhahabu Ligi Kuu England
Orodha ya Wafungaji Bora kwa Sasa:

| RK | Name | Team | P | G |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Erling Haaland | Manchester City | 16 | 17 |
| 2 | Igor Thiago | Brentford | 16 | 11 |
| 3 | Jean-Philippe Mateta | Crystal Palace | 16 | 7 |
| Danny Welbeck | Brighton & Hove Albion | 16 | 7 | |
| Hugo Ekitike | Liverpool | 15 | 7 | |
| Phil Foden | Manchester City | 14 | 7 | |
| 7 | Richarlison | Tottenham Hotspur | 16 | 6 |
| Bryan Mbeumo | Manchester United | 15 | 6 | |
| Antoine Semenyo | AFC Bournemouth | 14 | 6 | |
| 10 | Jarrod Bowen | West Ham United | 16 | 5 |
| Morgan Rogers | Aston Villa | 16 | 5 | |
| Pedro Neto | Chelsea | 16 | 5 | |
| Bruno Guimarães | Newcastle United | 15 | 5 | |
| Harry Wilson | Fulham | 15 | 5 | |
| Dominic Calvert-Lewin | Leeds United | 14 | 5 | |
| Nick Woltemade | Newcastle United | 13 | 5 | |
| Zian Flemming | Burnley | 13 | 5 | |
| 18 | Iliman Ndiaye | Everton | 16 | 4 |
| João Pedro | Chelsea | 16 | 4 | |
| Jaidon Anthony | Burnley | 16 | 4 |
CHECK ALSO:








Weka maoni yako