Hawa Hapa Waamuzi wa Mechi ya Yanga vs Simba 25/06/2025

Hawa Hapa Waamuzi wa Mechi ya Yanga vs Simba 25/06/2025: Mchezo wa 184 wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) kati ya Young Africans SC (Yanga) dhidi ya Simba SC utachezeshwa na waamuzi wa kimataifa kutoka Misri, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi.

Mchezo wa Kariakoo derby unaotarajiwa kufanyika Jumatano Juni 25, 2025 kuanzia saa 11:00 Jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, utaangaliwa kwa makini kutokana na umuhimu wake wa kufuzu ligi na mchuano mkali wa kihistoria baina ya timu hizo mbili.

Hawa Hapa Waamuzi wa Mechi ya Yanga vs Simba 25/06/2025

Hawa Hapa Waamuzi wa Mechi ya Yanga vs Simba 25/06/2025
Hawa Hapa Waamuzi wa Mechi ya Yanga vs Simba 25/06/2025

Majina ya Maofisa Watakaosimamia Mchezo:

  • Mwamuzi wa Kati: Amin Mohammed πŸ‡ͺπŸ‡¬

  • Mwamuzi Msaidizi 1: Mahmud Ahmed πŸ‡ͺπŸ‡¬

  • Mwamuzi Msaidizi 2: Samir Gamal πŸ‡ͺπŸ‡¬

  • Mwamuzi wa Akiba (Fourth Official): Ahmed πŸ‡ͺπŸ‡¬

  • Mkaguzi wa Waamuzi (Referee Assessor): Ali Ahmed πŸ‡ΈπŸ‡΄

Uteuzi huu wa waamuzi wa kigeni unalenga kuhakikisha unachezwa kwa haki, bila upendeleo na kukuza hadhi ya mchezo huu maarufu unaotazamwa na maelfu ya mashabiki wa ndani na nje ya Tanzania.

CHECK ALSO:

  1. Waamuzi wa Kimataifa wa Misri Kusimamia Mechi ya Yanga vs Simba 25 Juni 2025
  2. Viingilio Mechi ya Yanga vs Simba 25 Juni 2025
  3. Wallace Karia Ashinikizwa Kujiuzulu Nafasi ya Uraisi TFF
  4. Orodha ya Washindi wa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC 2024/25