Haya Hapa Makundi ya Kombe la Dunia 2026 | Droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 inatarajiwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani, huku macho yakielekezwa kwa mataifa ya Afrika yatakayowakilisha bara hilo katika fainali zijazo. Hatua hii ni muhimu kwa sababu ndiyo mwanzo wa safari ndefu kuelekea mafanikio mapya kwenye jukwaa la kimataifa.
Morocco, Senegal, Misri, Algeria, Tunisia, Ivory Coast, Afrika Kusini, Ghana na Cape Verde ni miongoni mwa timu zinazoibeba Afrika katika mashindano haya makubwa. Mataifa haya yameonyesha uwezo mkubwa katika michuano ya ndani na nje ya bara, na sasa yanajiandaa kuthibitisha ubora wao mbele ya dunia.
Haya Hapa Makundi ya Kombe la Dunia 2026

â—‰ A: Mexico, South Korea, South Africa + Winner Playoff D*
â—‰ B: Canada, Switzerland, Qatar + Winner Playoff A*
â—‰ C: Brazil, Morocco, Scotland, Haiti
â—‰ D: USA, Australia, Paraguay + Winner Playoff C*
◉ E: Germany, Ecuador, Ivory Coast, Curação
â—‰ F: Netherlands, Japan, Tunisia + Winner Playoff B*
â—‰ G: Belgium, Iran, Egypt, New Zealand
â—‰ H: Spain, Uruguay, Saudi Arabia, Cabe Verde
â—‰ I: France, Senegal, Norway + Winner Playoff 2
â—‰ J: Argentina, Austria, Algeria, Jorgan
â—‰ K: Portugal, Colombia, Uzbekistan + Winner Playoff 1
â—‰ L: England, Croatia, Panama, Ghana
CHECK ALSO:








Weka maoni yako