Haya Hapa Makundi ya Ndondo Cup 2025: Orodha kamili ya makundi manne yenye jumla ya timu 32 zitakazoshiriki mashindano ya Ndondo Cup 2025. Msimu huu umekuja na kauli mbiu ya “kitaakinautaka”, ikionyesha msimu wenye ushindani mkali na nguvu ya pamoja ya jamii katika ligi hiyo ya mitaa.
Haya Hapa Makundi ya Ndondo Cup 2025
KUNDI A
Msisiri United
Weekend Team
Mshikamano Talent
Mchalingeni FC
KUNDI B
Azimio FC
Bahari FC
MORO Vipaji
Tabat Mgundini
KUNDI C
Tandika City
Faru Jeuri
Mbweni Teta
Buza Mabegani
KUNDI D
Mask FC
Kibangu Rangers
Ziota FC
Friends Rangers
KUNDI E
Keko Furniture
Kauzu FC
GOMZ FC
Mamelodi Sundowns
KUNDI F
Madenge FC
Premium Security
Mabingwa Msasani
Haipotei Jogging
KUNDI G
Mabibo Market
Makuburi FC
Mazizini Combine
Boni Yai FC
KUNDI H
SOCCER CITY
SINZA STAR
GONGA FC
KAGERA BOYS
CHECK ALSO:
Weka maoni yako