JKT Tanzania Vs Simba SC Leo 08/11/2025 Saa Ngapi?, Leo Jumamosi, saa 1:00 usiku (19:00 GMT+3), macho yote yatakuwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ambapo JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Simba SC katika mchezo wa kusisimua wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
JKT Tanzania wakiwa nyumbani wanatafuta ushindi muhimu ili kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi, huku wakitumia faida ya uwanja wao wa Meja Jenerali Isamuhyo.
Simba SC kwa upande mwingine wanahitaji pointi zote tatu ili kuendelea kusalia kwenye mbio za ubingwa dhidi ya watani wao wa jadi Young Africans (Yanga SC).
JKT Tanzania Vs Simba SC Leo 08/11/2025 Saa Ngapi?
- 🗓️ Tarehe: Jumamosi, 8 Novemba 2025
- 🕐 Muda: Saa 1:00 usiku
- 🏟️ Uwanja: Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam
- 🏆 Mashindano: Ligi Kuu NBC Tanzania Bara

CHECK ALSO:








Weka maoni yako