Kagame Cup 2025 Wachezaji Waliopewa Tuzo

Kagame Cup 2025 Wachezaji Waliopewa Tuzo, Waliong’ara Wapewa Tuzo: Michuano ya Kombe la Kagame 2025 ilihitimishwa kwa kishindo kikubwa, huku nyota kadhaa wakituzwa kwa uchezaji wao uwanjani.

Kagame Cup 2025 Wachezaji Waliopewa Tuzo

Mchezaji wa Thamani Zaidi (MVP): Dao Memel wa APR FC alitambuliwa kwa uchezaji wake bora katika kila mechi.

Mfungaji Bora: Clatous Chama wa Singida Big Stars alionyesha uwezo wake wa kupachika mabao na kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.

Kagame Cup 2025 Wachezaji Waliopewa Tuzo

Kipa Bora: Metacha Mnata, pia wa Singida Big Stars, alitambulika kwa uwezo wake wa kuzima michomo ya hatari na kuipeleka timu yake kileleni.

Michuano hiyo ilionyesha kiwango bora cha wachezaji na ushindani mkali kutoka kwa vilabu kote Afrika Mashariki na Kati, ambao unaendelea kuinua nafasi ya Kombe la Kagame kama moja ya mashindano ya kwanza ya ukanda.

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Vilabu vya Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa
  2. Ngao ya Jamii Tanzania, Simba na Yanga
  3. Ngao ya Jamii 2025, Simba SC vs Yanga SC Historia na Rekodi
  4. KMKM Yashinda Ngao ya Jamii Zanzibar 2025