Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC

Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC | Mwishoni mwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara, tovuti ya AjiraZaLeo.com, tovuti inayoongoza kwa habari za michezo na ajira ilitoa orodha rasmi ya Timu Bora ya Msimu. Orodha hii iliundwa kwa kuzingatia michango ya wachezaji kwenye mafanikio ya vilabu vyao, takwimu zao binafsi, nidhamu yao uwanjani, na ushawishi wao kwa timu katika msimu mzima.

Timu hii iliwakutanisha wachezaji ambao wameonyesha ubora wa hali ya juu katika nafasi mbalimbali, wakiwemo mabeki waliotibua mashambulizi pinzani, viungo waliotawala eneo la kiungo, na washambuliaji waliofunga mabao mara kwa mara. Zaidi ya hayo, uteuzi huu ulizingatia maoni ya mashabiki, wachambuzi wa soka na takwimu rasmi za ligi.

Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC

Hiki ndio kikosi bora cha msimu huu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ya NBC 2024/25

1 MUSSA CAMARA — SIMBA
2 SHOMARI KAPOMBE — SIMBA
3 MUHAMED HUSSEIN — SIMBA
4 IBRAHIM BACCA — YANGA
5 DIKSON JOB — YANGA
6 YUSUPH KAGOMA — SIMBA
7 PACOME ZUOZUOA — YANGA
8 KHALID AUCHO — YANGA
9 CLEMENT MZIZE — YANGA
10 FEISAL SALUM — AZAM
11 JEAN AHOUA — SIMBA

KOCHA WA HIKI KIKOSI: Fadluraghman FADLU DAVIDS

Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC
Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC

Ni wazi kuwa timu hii inaakisi ubora wa soka la nchini na inatoa taswira halisi ya wachezaji waliofanya vyema katika msimu wa 2024/25. Kwa mashabiki wa soka, hii ni fursa nzuri ya kutathmini ujuzi wa wachezaji ambao wameingia uwanjani msimu huu/Kikosi Bora cha Msimu 2024/25 Ligi Kuu NBC.

Je? Nikipi kikosi chako bora cha msimu huu wa NBC 2024/2025, andika hapo chini kwenye comment ili tujue yapi maoni yako juu ya hili..

CHECK ALSO:

  1. RATIBA ya CHAN 2024/2025 CAF African Nations Championship
  2. Usajili Yanga Wachezaji Wanaoondoka, Wanaowaniwa na Wanaoongeza Mikataba
  3. Kikosi cha Taifa Stars Kwenye Mashindano ya CHAN 2024/2025
  4. RATIBA YA KOMBE LA DUNIA LA KLABU 2025 HATUA YA 16 BORA