Kikosi cha Simba Leo Dhidi ya Mbeya City 13/04/2025: Simba vs Mbeya City, Kwenye Robo Fainali Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/25. Michuano ya Kombe la FA msimu wa 2024/2025 inaendelea kushika kasi, huku hatua ya robo fainali ikiwa na mechi ngumu, ukiwemo pambano kati ya Simba SC na Mbeya City.
Simba SC imetinga hatua ya robo fainali, Simba SC ilifikia hatua hii baada ya kuiondoa timu ya Ligi Daraja la Kwanza, Bigman FC kwa ushindi wa mabao 2-1 katika hatua ya 16 bora. Ushindi huo uliwapa fursa ya kusonga mbele, na kudhihirisha kuwa wako tayari kuwania ubingwa wa Kombe la FA msimu huu.
Mbeya City na ushindi dhidi ya Azam FC Kwa Mbeya City, njia yao ya kutinga robo fainali haikuwa rahisi. Walikutana na Azam FC katika hatua ya 16 bora, ambapo walitoka sare ya 1-1 baada ya dakika 90. Hatimaye waliibuka washindi kwa mikwaju ya penalti, na kutinga robo fainali dhidi ya Simba SC.
Nini cha kutarajia kutoka kwa mechi hii? Ubora wa Simba SC: Simba ni moja ya timu bora zaidi Tanzania, yenye uzoefu mkubwa katika michuano mikubwa. Kikosi chao kimeonyesha uwezo mkubwa katika michuano ya Kombe la FA na ligi, hivyo wanatarajiwa kuja kwenye mechi hii wakiwa na hamasa kubwa.
Kikosi cha Simba Leo Dhidi ya Mbeya City 13/04/2025
Kikosi cha Simba kinachoaza leo dhidi ya Mbeya City hiki hapa:-
- ALLY SALUM
- VALENTINO NOUMA
- KAMETA DUCHU
- HAMZA
- CHAOUM
- MUTALE
- MAVAMBO
- AWESU AWESU
- ATEBA LIONEL
- LADACK CHASAMBI
- NGOMA

Kikosi cha Mbeya City kinachoanza leo:
- Hashimu Mussa (31)
- David Mwasa (15)
- Daniel William (2)
- Peter Samson (3)
- Gabriel Daud (6)
- Medson Absalom (12)
- Mwani Willy (17)
- Adilly Twamile (25)
- Mwasimba Chesko (27)
- Jeremia Thomas (45)
- Mudathir Abdulla (49)
Kocha Mkuu: Malale Hamsini
Wachezaji wa Akiba:
- Stewart Sweetbert
- Sudi Abdallah
- Kilaza Mazoea
- Riphati Khamis
- Said Ally
- Jonathan Ambukege
- Mussa Said
- Honest Alex
- Malacki Joseph
- Baraka Filemoni
CHECK ALSO:
Weka maoni yako