Kikosi cha Simba Leo Dhidi ya Stellenbosch 20/04/2025

Kikosi cha Simba Leo Dhidi ya Stellenbosch 20/04/2025, Kikosi cha Simba Leo vs Stellenbosch, Kocha wa Simba SC aonya dhidi ya ulevi kabla ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25.

Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids amesisitiza kuwa timu yake haitakiwi kulewa sifa au kushangilia mapema baada ya kufuzu kwa nusu fainali ya CAFCC. Badala yake, alisema waelekeze nguvu na mawazo yao yote katika mechi ya kesho dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa ratiba rasmi iliyotolewa na CAF, Simba SC itacheza mechi ya nusu fainali ya kwanza nyumbani Dar es Salaam, kabla ya kwenda Afrika Kusini kwa mkondo wa pili. Hii ni fursa ya kihistoria kwa klabu ya Tanzania kutinga fainali ya michuano hiyo muhimu barani Afrika.

Kikosi cha Simba Leo Dhidi ya Stellenbosch 20/04/2025

Kikosi cha Simba Leo Dhidi ya Stellenbosch 20/04/2025
Kikosi cha Simba Leo Dhidi ya Stellenbosch 20/04/2025

Kikosi cha Simba kinachoanza leo vs Stellenbosch uwanja wa Aman Complex

  • CAMARRA
  • KAPOMBE
  • ZIMBWE JR
  • HAMZA
  • CHE FONDOH
  • NGOMS
  • KAGOMA
  • AHOUA
  • MPANZU
  • KIBU
  • MUKWALA

CHECK ALSO: