KIKOSI cha Simba SC Msimu wa 2025/2026: Simba Sports Club ni timu ya soka iliyo na makao makuu katika mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo ilianzishwa mwaka 1936, ikiitwa kwanza Eagles na baadaye tena iliitwa Dar Sunderland. Mwaka 1971 ikaibadilisha jina lake kabisa na kuitwa, Simba Sport Club.
Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao wanaitwa Younɡ Africans.
Ni mabingwa wa taifa mara 18 tena ni mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame. Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.
KIKOSI cha Simba SC Msimu wa 2025/2026

# | Player | Nat. |
26 | Moussa Camara | Guinea |
22 | Yakoub Suleiman Ali | Tanzania |
28 | Hussein Abel | Tanzania |
23 | Rushine De Reuck | South Africa |
14 | Abdulrazack Hamza | Tanzania |
31 | Wilson Nangu | Tanzania |
2 | Chamou Karaboue | Cote d’Ivoire |
15 | David Kameta | Tanzania |
12 | Shomari Kapombe | Tanzania |
21 | Yusuph Kagoma | Tanzania |
8 | Alassane Kanté | Senegal |
30 | Naby Camara | Guinea |
19 | Mzamiru Yassin | Tanzania |
37 | Hussein Semfuko | Tanzania |
35 | Neo Maema | South Africa |
18 | Morice Abraham | Tanzania |
10 | Jean Charles Ahoua | Cote d’Ivoire |
33 | Awesu Ally Awesu | Zanzibar |
38 | Denis Kibu | Tanzania |
17 | Mohammed Bajaber | Kenya |
7 | Joshua Mutale | Zambia |
36 | Ladaki Chasambi | Tanzania |
34 | Elie Mpanzu | DR Congo |
11 | Steven Mukwala | Uganda |
40 | Selemani Mwalimu | Tanzania |
3 | Jonathan Sowah | Ghana |
5 | Antony Mligo | Tanzania |
4 | Vedastus Masinde | Tanzania |
CHECK ALSO:
Weka maoni yako