Kikosi cha Simba vs TMA Leo 11 Machi 2025 CRDB Federation Cup

Kikosi cha Simba vs TMA Leo 11 Machi 2025 CRDB Federation Cup | Simba vs TMA CRDB Federation Cup Hatua ya 32 Bora, SIMBA SC vs TMA FC: Ratiba Takwimu Kabla ya Mechi (11 Machi 2025).

Katika mechi inayosubiriwa kwa hamu, SIMBA SC itamenyana na TMA FC tarehe 11 Machi 2025, kuanzia saa 22:00 kwenye Uwanja wa KMC.

SIMBA SC kwa sasa ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa imecheza mechi 21 na kujikusanyia pointi 54. Timu hiyo inaendelea kupigania nafasi ya kwanza huku ikijivunia rekodi bora kwenye ligi hiyo.

TMA FC inayoshiriki michuano ya NBC Daraja la Kwanza, ipo nafasi ya sita baada ya kucheza mechi 21 na kupata pointi 38. Timu hiyo imefunga mabao 31, imefungwa mabao 20, sare michezo 5 na kupoteza michezo 5.

Kikosi cha Simba vs TMA Leo 11 Machi 2025 CRDB Federation Cup

Hichi hapa kikosi cha Simba dhidi ya TMA leo:-

Kikosi cha Simba vs TMA Leo 11 Machi 2025 CRDB Federation Cup
Kikosi cha Simba vs TMA Leo 11 Machi 2025 CRDB Federation Cup

Mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali kutokana na SIMBA SC kutaka kudhihirisha ubabe wao dhidi ya TMA FC, huku wageni wakisaka matokeo mazuri dhidi ya moja ya timu bora nchini.

CHECK ALSO: