Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Juni 2025 Kwa Mechi ya Kirafiki

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Juni 2025 Kwa Mechi ya Kirafiki | Mechi ya Kirafiki vs Afrika Kusini na COSAFA dhidi ya Eswatini na Madagascar.

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars, kitakachoanza kutumika kuanzia Juni 2, 2025, kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana), pamoja na michuano ya COSAFA itakayozikutanisha Eswatini na Madagascar.

Kikosi hiki kimechaguliwa chini ya uongozi wa kocha Hemed Suleiman ambaye amewaita wachezaji wa ligi ya ndani na nje ya nchi kwa lengo la kujenga timu imara itakayoiwakilisha Tanzania katika ngazi za kimataifa/Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Juni 2025 Kwa Mechi ya Kirafiki.

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Juni 2025 Kwa Mechi ya Kirafiki

Haya ndiyo majina ya wachezaji wa Taifa Stars kwa ajili ya kambi ya Juni 2, 2025, wakijiandaa kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) na mashindano ya COSAFA dhidi ya Eswatini na Madagascar:

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Juni 2025 Kwa Mechi ya Kirafiki
Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Juni 2025 Kwa Mechi ya Kirafiki
  • Yakoub Suleiman (JKT Tanzania)
  • Ally Salim (Simba SC)
  • Hussein Masaranga (Singida BS)
  • Antony Remmy (Azam FC U20)
  • Miraj Abdallah (Coastal Union)
  • Shomari Kapombe (Simba SC)
  • Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
  • Vedastus Masinde (TMA Stars FC)
  • Wilson Nangu (JKT Tanzania)
  • Mohamed Hussein (Simba SC)
  • Ibrahim Ame (Mashujaa FC)
  • Pascal Msindo (Azam FC)
  • Alphonse Mabula (Shamakhi FC, Azerbaijan)
  • Ibrahim Abdulla (Young Africans)
  • Dickson Job (Young Africans)
  • Abdulrahman Abdallah (JKT Tanzania)
  • Idrisa Sitambuli (Mashujaa FC)
  • Abdulrazack Mohamed (Simba SC)
  • Ahmed Dipino (KMC FC)
  • Yusuph Kagoma (Simba SC)
  • Sheikhann Khamis (Young Africans)
  • Feisal Salum (Al Ittihad SC)
  • Valentino Mshaka (Simba SC)
  • Kibu Denis (Simba SC)
  • Mohammed Msuva (Al-Talaba SC, Iraq)
  • Iddy Selemani (Azam FC)
  • Suleiman Abdallah (Kengold FC)
  • Msehi Mwalimu (Wydad Casablanca, Morocco)

CHECK ALSO: