Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Leo 2025

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Leo 2025 | Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Miguel Angel Gamondi ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 53 cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Desemba 3, 2025 kwa ajili ya kujiandaa na AFCON 2025.

Tanzania ipo Kundi C kwenye michuano hiyo ya AFCON 2025 sambamba na Nigeria, Tunisia na Uganda ambapo Stars itaweka Kambi Nchini Misri na inatarajiwa kuondoka nchini Desemba 08, 2025.

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Leo 2025

1. Walinda Mlango

  • Yakoub Suleiman (Simba SC)
  • Hussein Masalanga (Singida BS)
  • Zuberi Foba (Azam FC)

2. Mabeki

  • Bakari Mwamnyeto (Young Africans)
  • Shomari Kapombe (Simba SC)
  • Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
  • Mohamed Hussein (Young Africans)
  • Nickson Kibabage (Singida BS)
  • Alphonse Mabula (Shamakhi, Azerbaijan)
  • Wilson Nangu (Simba SC)
  • Novatus Dismas (Göztepe FC, Uturuki)
  • Kelvin Nashon (Pamba Jiji)
  • Pascal Msindo (Azam FC)
  • Ibrahim Abdulla (Young Africans)
  • Haji Monga (Salford City, Uingereza)
  • Dickson Job (Young Africans)

3. Viungo wa Kati

  • Habibu Idd (Singida BS)
  • Tarryn Allarakhia (Rochdale AFC, Uingereza)
  • Charles M’Mombwa (Floriana FC, Malta)
  • Yusuph Kagoma (Simba SC)
  • Feisal Salum (Azam FC)
  • Morice Abraham (Simba SC)
  • Abdul Suleiman (Azam FC)
  • Iddi Suleiman (Azam FC)

4. Washambuliaji

  • Kibu Dennis (Simba SC)
  • Mbwana Samatta (Le Havre AC, Ufaransa)
  • Kelvin John (Aalborg BK, Denmark)
  • Simon Msuva (Al-Talaba, Iraq)
Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Leo 2025
Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Leo 2025

Ratiba ya Michezo ya Taifa Stars – Disemba 2025

23 Dec – 20:30 Nigeria vs Tanzania

27 Dec – 21:30 Uganda vs Tanzania

30 Dec – 19:00 Tanzania vs Tunisia

Mashabiki wa soka nchini watakuwa na matumaini ya kuiona Stars ikicheza kwa nidhamu na kujitahidi kupata matokeo mazuri katika mechi hizo muhimu. Ushindi dhidi ya Congo nyumbani na sare angalau dhidi ya Morocco ugenini utaongeza matumaini ya Taifa Stars kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza/Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Leo 2025.

CHECK ALSO: