Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Vs Congo Brazzaville na Niger: Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman leo ametangaza majina ya wachezaji ambao wanatarajiwa kuingia kambini Jumanne kwa ajili ya michezo hiyo miwili ya Niger na Congo Brazzavile.
Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Vs Congo Brazzaville na Niger
Kikosi hicho kina wachezaji :-
- YAKUB SULEIMAN
- HUSSEIN MASARANGA
- ANTONY REMMY
- SHOMARI KAPOMBE
- LUSAJO MWAIKENDA
- WILSON NANGU
- MOHAMED HUSSEIN
- PASCAL MSINDO
- IBRAHIM ABDULLA
- DICKSON JOB
- YUSUPH KAGOMA
- NOVATUS DISMAS
- YAHYA ZAID
- EDMUND JOHN
- CHARLES M’MOMBWA
- MUDATHIR YAHYA
- CLEMENT MZIZE
- MBWANA SAMATTA
- ABDUL HAMIS
- FEISAL SALUM
- SAIMON MSUVA
- IDDY SELEMANI
- SELEMANI MWALIMU
SOMA PIA:
Weka maoni yako