KIKOSI Cha Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025: Taifa Stars dhidi ya Madagascar Leo Saa Ngapi? | Tanzania inatarajiwa kuvaana na Madagascar Agosti 9, 2025 katika mchezo wa hatua ya makundi kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, Kundi B.
Mechi hii ni moja ya mechi muhimu kwa Taifa Stars, ambayo kwa sasa inashika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa makundi, huku Madagascar ikishika nafasi ya tatu.
KIKOSI Cha Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025

KIKOSI CHA STARS LEO
- SULEIMAN
- KAPOMBE
- ZIMBWE JR
- BACCA
- JOB
- PIPINO
- MUDATHIR
- FEI TOTO
- SOPU
- MZIZE
- NADO
Mashabiki wanaweza kutazama mechi moja kwa moja kupitia Azam Sports 1 HD, na matangazo ya moja kwa moja kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho.
Kwa Tanzania, ushindi katika mechi hii ungewapa nafasi nzuri ya kufuzu kwa raundi inayofuata, wakiendelea na mwanzo wao mzuri wa michuano hiyo. Kwa Madagascar, mechi hii inawakilisha fursa ya kurejea kwenye kupigania nafasi za juu kwenye kundi.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako