Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya JKU 01/05/2025: Fainali ya kusisimua inasubiriwa kwa hamu
Leo Mei 1, 2025 mashabiki wa soka kutoka mikoa mbalimbali wanasubiri kwa hamu mpambano mkali kati ya JKU ya Zanzibar na Yanga SC kutoka Tanzania Bara, utakaoanza saa 1:15 usiku. Hii ni fainali kuu ya mashindano ya shirikisho, ambapo timu hizi mbili zimeonyesha ushindani wa hali ya juu hadi hatua ya fainali.
Yanga SC, mabingwa wengi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wanatarajia kutumia uzoefu wao mkubwa wa kimataifa kuhakikisha wanatwaa taji hilo muhimu. Timu ya Yanga imejipanga vyema kwa mechi hii, ikiwa na wachezaji mahiri katika kiwango kizuri.
Kwa upande mwingine, JKU imekuwa na msimu mzuri na kufanikiwa kuwashangaza wapinzani wao wengi kwa kushinda mechi ngumu hadi fainali. Timu ya Zanzibar inalenga kuweka historia kwa kushinda dhidi ya timu kubwa kama Yanga SC.

Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya JKU 01/05/2025
Hiki hapa kikosi cha Yanga dhidi ya JKU leo kwenye fainali ya Muungano Cup 2025:
- MSHERY
- KIBWANA
- JOB
- MWAMNYETO
- ISRAEL
- CHAMA
- MAXI
- AZIZI KI
- MKUDE
- MZIZE
- IKANGA LOMBO
CHECK ALSO:
Weka maoni yako