Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya Tabora United 02/04/2025, Kikosi cha Tabora vs Yanga leo, Kikosi cha Yanga kinachoaza dhidi ya Tabora United Leo, Kikosi cha Yanga Leo vs TABORA, YANGA VS TABORA UNITED.
Yanga SC yataka kulipa kisasi dhidi ya Tabora United Ni mechi ya marudiano! Ndivyo tunavyoweza kuielezea mechi ya Yanga SC dhidi ya Tabora United itakayopigwa leo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Mabingwa hao wa Tanzania Bara wanashuka dimbani wakiwa na lengo kuu moja: kulipiza kisasi na kupata pointi tatu muhimu katika harakati zao za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League).
Kumbukumbu ya kichapo katika raundi ya kwanza Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Novemba 7, 2024 kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam, Tabora United iliwashangaza wengi kwa kuifunga Yanga SC mabao 3-1. Matokeo haya yalikuwa ni miongoni mwa machache yaliyoitikisa Yanga msimu huu, na sasa timu hiyo inataka kumaliza deni hilo kwa ushindi mnono.
Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya Tabora United 02/04/2025
KIKOSI CHA YANGA LEO
- DIARRA
- JOB
- BACCA
- ISRAEL
- BOKA
- MAXI
- MUDATHIR
- PACOME
- MZIZE
- DUBE
- ABUYA

Kikosi cha Tabora vsYanga
- 1. Jean Amonome π¬π¦
- 3. Andy Bikoko π¨π©
- 6. Nelson Munganga π¨π©
- 28. Kevin Pemba π¨π©
- 13. Shafih Kisauti πΉπΏ
- 22. Emmanuel Chilekwu π³π¬
- 30. Akandwanaho πΊπ¬
- 16. Emmanuel Mwanengo πΉπΏ
- 29. Banele Sikhodze πΈπΏ
- 19. Heritier Makambo π¨π©
- 31. Offen Chikola πΉπΏ
Umuhimu wa mechi hii kwa Yanga SC Kwa Yanga SC, ushindi katika mechi hii ni muhimu si tu kwa kulipiza kisasi, bali pia kuimarisha zaidi uongozi wao kwenye msimamo wa ligi. Mabingwa hao wanahitaji pointi tatu ili kukaa katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa wao na kujiandaa vyema na mechi zijazo/Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya Tabora United 02/04/2025.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako