KIKOSI Cha Yanga Leo Vs Rayon Sport 15/08/2025

KIKOSI Cha Yanga Leo Vs Rayon Sport 15/08/2025: Yanga Vs Rayon Sports Saa Ngapi 15/08/2025 | Yanga SC Kukipiga na Rayon Sports Agosti 15, Young Africans SC (Yanga SC), maarufu kwa jina la Wananchi, itacheza kwa mara ya kwanza Ijumaa, Agosti 15, 2025, katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda. Mechi itaanza saa 1:00 usiku. Saa za Afrika Mashariki na itaonyeshwa moja kwa moja na Azam Sports 4 HD.

Kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe, ziara ya timu hiyo itaanza Jumanne Agosti 12, 2025 hadi Kigali, Rwanda. Safari hiyo inalenga si tu kushiriki mechi ya kirafiki bali pia kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya klabu.

Miongoni mwa shughuli hizo ni usajili wa wanachama wapya wa Yanga SC nchini Rwanda, mpango unaolenga kuimarisha mtandao wa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo nje ya Tanzania.

KIKOSI Cha Yanga Leo Vs Rayon Sport 15/08/2025

KIKOSI Cha Yanga Leo Vs Rayon Sport 15/08/2025

Kikosi kinachoaza leo cha Yanga dhidi ya Rayon Sport

  • Diarra
  • Mwenda
  • Mwamnyeto
  • Boka
  • Andabwile
  • Conte
  • Doumbia
  • Maxi
  • Pacome
  • Boyeli
  • Ecua

Mchezo huu unatarajiwa kuwa fursa muhimu kwa timu ya Yanga SC kujiandaa na msimu mpya wa ushindani, pamoja na kuimarisha mahusiano ya kimichezo kati ya Tanzania na Rwanda. Zaidi ya hayo, mashabiki wa timu zote mbili wanatarajia mchezo wa hali ya juu kutoka kwa timu hizi zinazojulikana kwa umahiri wao Afrika Mashariki.

Mashabiki wanahimizwa kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye Azam Sports 4 HD ili kushuhudia kila dakika ya mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa/KIKOSI Cha Yanga Leo Vs Rayon Sport 15/08/2025.

CHECK ALSO:

  1. CV ya Naby Camara Mchezaji wa Simba 2025/26
  2. Simba Yamsajili Naby Camara kwa Mkataba wa Miaka Miwili
  3. Tottenham Kumsajili Savinho kwa Euro Milioni 50, Man City na Rodrygo wa Madrid
  4. Everton Yamsajili Grealish kwa Mkopo Kutoka Manchester City