Kikosi cha Yanga Leo vs Safari Lager Cup 26/07/2025

Kikosi cha Yanga Leo vs Safari Lager Cup 26/07/2025, Yanga SC vs Safari Lager Leo KMC Complex: Kikosi Kipya Kuwashangaza Mashabiki. Yanga SC inarejea kucheza dhidi ya Safari Lager leo ikiwa ni mechi yao ya kwanza tangu msimu mpya

Young Africans Sports Club (Yanga SC), mabingwa wa kihistoria wa soka Tanzania, wataanza kwa mara ya kwanza leo Julai 25, 2025 katika mechi yao ya kwanza tangu kumalizika kwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC wa 2024/2025. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex kuanzia saa 6:00 Mchana dhidi ya Safari Lager.

Tukio hili limeibua mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka nchini hasa wale wa Yanga ambao wanatarajia kuona mabadiliko kwenye kikosi hicho hasa wachezaji wapya waliotangazwa hivi karibuni na uongozi wa klabu hiyo.

Wakati wa maandalizi ya msimu mpya, Yanga SC imesajili wachezaji kadhaa wapya ili kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao. Mechi ya leo inatarajiwa kuwa kipimo muhimu kwa wakufunzi na wachezaji wapya, ambao wataweza kuonyesha ustadi wao kabla ya mechi rasmi za ligi na mashindano ya kimataifa.

Kikosi cha Yanga Leo vs Safari Lager Cup 26/07/2025

Kikosi cha Yanga Leo vs Safari Lager Cup 26/07/2025
Kikosi cha Yanga Leo vs Safari Lager Cup 26/07/2025

Kikosi cha Yanga kinachoaza leo dhidi ya Safari Lager Cup:-

  • Mshery
  • Kibwana
  • Abdulnassir Mohamed
  • Mwamnyeto
  • Shekhan
  • Dumbia
  • Kouma
  • Farid
  • Pacome
  • Conte
  • Dube

CHECK ALSO:

  1. Matokeo ya Yanga Leo vs Safari Lager Cup 26/07/2025
  2. CV ya Lassine Kouma Mchezaji Mpya wa Yanga 2025/2026
  3. Simba Kuweka Kambi Misri kujiandaa na Msimu Mpya wa 2025/26
  4. Usajili Mpya wa Yanga SC 2025/2026