KIKOSI cha Yanga Leo Vs Wiliete SC 19/09/2025

KIKOSI cha Yanga Leo Vs Wiliete SC 19/09/2025, Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali ya mtoano, Young Africans SC (Yanga SC) imewasili Angola kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26. Timu hiyo inatarajiwa kushuka dimbani Ijumaa hii kwenye Uwanja wa Estadio 11 de Novembro kumenyana na mwenyeji, Wiliete Sports Clube.

Mechi hiyo itaanza saa 12:00 jioni. Kwa SAA za Afrika Mashariki, ikiwa ni hatua muhimu kwa Yanga SC katika kusaka nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya kuwania kufuzu kwa vilabu kuu barani Afrika.

Kwa mashabiki wa Yanga, hii ni fursa nyingine ya kuiona timu yao ikijaribu kuendeleza mbio za mafanikio katika mashindano ya kimataifa. Ushindi wa ugenini unaweza kuwapa faida kubwa kuelekea mchezo wa marudiano utakaopigwa jijini Dar es Salaam.

KIKOSI cha Yanga Leo Vs Wiliete SC 19/09/2025
KIKOSI cha Yanga Leo Vs Wiliete SC 19/09/2025

Hata hivyo, Wiliete Sports Clube inasalia kuwa mpinzani mwenye rekodi kali katika ligi ya Angola, na kuifanya mechi hii kuwa na ushindani mkubwa. Yanga SC itahitaji kuonyesha nidhamu kubwa, ukomavu wa kimataifa, na kutumia uzoefu wa nyota wao ili kupata matokeo chanya.

KIKOSI cha Yanga Leo Vs Wiliete SC 19/09/2025

Hiki hapa kikosi kinachoaza leo cha Yanga SC dhidi ya Wiliete SC kwenye ligi ya mabingwa CAF:-

  • DIARRA
  • ZIMBWE JR
  • MWENDA
  • BACCA
  • JOB
  • ABUYA
  • ANDAMBWILE
  • MAXI
  • PACOME
  • ACUA
  • DUBE

Kwa ujumla, macho ya mashabiki wa soka barani Afrika yataelekezwa kwenye mechi hii, kwani itatoa taswira ya namna mabingwa hao wa Tanzania wanavyoanza kampeni ya Ligi ya Mabingwa msimu huu.

CHECK ALSO:

  1. Matokeo ya Yanga Leo Vs Wiliete SC 19/09/2025
  2. Matokeo Wiliete SC Vs Yanga Leo 19/09/2025
  3. Wiliete SC Vs Yanga Leo Saa Ngapi?
  4. Jezi Mpya ya Mtibwa Sugar 2025/26