Kikosi cha Yanga SC vs Coastal Union Leo 07/04/2025

Kikosi cha Yanga SC vs Coastal Union Leo 07/04/2025, Yanga vs Coastal Union Leo, kikosi cha Yanga leo dhidi ya Coastal Union, Matokeo ya mechi ya Yanga na Coastal Union leo kwenye NBC LIGI KUU TANZANIA BARA.

Yanga leo watashuka dimbani kwenye uwanja wa KMC Complex kusaka alam tatu dhidi ya Wanamangushi Coastal Union. Mchezo wa mzunguko wa 25 dhidi ya Coastal umebeba taswira pana sana ya ubingwa kwa wananchi msimu huu, hivyo matokeo ya alama tatu yatakuwa matokeo bora sana kwa uongozi na mashabiki wa klabu ya Yanga leo.

Coastal Union wakiwa wanasuasua sana kwenye ligi kuu msimu huu, bado wanamatuni ya kupata alama mbele ya Yanga licha ya Benchi la ufundi na muwakilishi wa wachezaji kukiri kuwa utakuwa mchezo mgumu sana leo. Coastal wanaitaji sana alama kwenye mchezo huu ambapo wanajua matokeo mabovu yanaweza kuwaweka kwenye sehemu mbaya kuelekea kumalizia msimu huu.

Baadhi ya taarifa zinadai timu ya Coastal Union inakabiliwa na sintofaamu nyingi kwenye uongozi hivyo kutoa nafasi finyu kwa timu kufanya vyema kwenye ligi kuu msimu huu. Kwa mujibu wa taarifa zinasemekana inawezekana benchi la ufundi likipngozwa na Kocha Mwambusi kuvunjwa.

Kikosi cha Yanga SC vs Coastal Union Leo 07/04/2025

YOUNG AFRICANS XI

  • Diarra
  • Israel
  • Kibabage
  • Job
  • Mwamnyeto
  • Aucho
  • Maxi
  • Pacome
  • Abuya
  • Mzize
  • Dube
Kikosi cha Yanga SC vs Coastal Union Leo 07/04/2025
Kikosi cha Yanga SC vs Coastal Union Leo 07/04/2025

Matokeo yoyote kwa Yanga yataendelea kusimika utawala wake kileleni mwa simamo na kutoa matumaini ya kutetea ubingwa wake tena msimu huu ikiwa ni mara ya nne mfululizo.

Mashabiki na wapenzi wa soka na timu zote mbili msikose kufatilia matangazo mubasha kupitia tovuti yetu ua ajirazaleo.com ili kuwakaribu na habari ya Matokeo ya Yanga dhidi ya Coastal Union.