Makocha Wanaolipwa Mshahara Mkubwa Afrika 2026 | Kadri michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inavyoelekea katika hatua ya 16 bora, masuala ya kiufundi na kiutawala yanaendelea kuvutia mjadala mkubwa. Miongoni mwa masuala hayo ni mishahara ya makocha wakuu wa timu za taifa, ambayo inaonyesha wazi tofauti za uwekezaji na matarajio ya mafanikio kwa kila nchi shiriki.
Makala hii inaeleza kwa kina orodha ya makocha wanaolipwa pesa nyingi zaidi katika AFCON 2025, kwa mujibu wa takwimu zilizopo, pamoja na umuhimu wa mishahara hiyo katika mafanikio ya timu.
Makocha Wanaolipwa Mshahara Mkubwa Afrika 2026
Hii hapa Orodha ya Makocha Wanaolipwa Zaidi AFCON 2025 kwa timu za Taifa:-

-
Vladimir Petrovic โ Algeria ๐ฉ๐ฟ (โฌ135,000)
-
Hugo Broos โ South Africa ๐ฟ๐ฆ (โฌ75,000)
-
Emerse Faรฉ โ Ivory Coast ๐จ๐ฎ (โฌ75,000)
-
Walid Regragui โ Morocco ๐ฒ๐ฆ (โฌ70,000)
-
Sรฉbastien Desabre โ DR Congo ๐จ๐ฉ (โฌ50,000)
-
Eric Chelle โ Nigeria ๐ณ๐ฌ (โฌ50,000)
-
Kwesi Appiah โ Sudan ๐ธ๐ฉ (โฌ48,000)
-
Hossam Hassan โ Egypt ๐ช๐ฌ (โฌ30,000)
-
Gernot Rohr โ Benin ๐ง๐ฏ (โฌ25,000)
-
Tom Saintfiet โ Mali ๐ฒ๐ฑ (โฌ20,000)
CHECK ALSO:






Weka maoni yako