Makundi ya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26

Makundi ya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26 Vyungu (Pots) Vilivyotangazwa: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi vyungu kwa ajili ya droo ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26. Droo hii ni muhimu kwa kuandaa mechi za awali kati ya vilabu shiriki kutoka mataifa tofauti ya Afrika.

Vilabu vimegawanywa katika vyungu kulingana na kiwango chao cha ushindani, rekodi zao katika mashindano ya CAF, na nafasi yao katika ligi za nyumbani/Makundi ya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26.

Makundi ya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26

Orodha ya Vyungu kwa Droo ya CAF Champions League 2025/26

Pot 1:

  • Aigle Noir FC (Burundi)

  • ASAS/Djibouti Telecom (Djibouti)

  • Insurance Company (Ethiopia)

  • Kenya Police FC (Kenya)

  • APR FC (Rwanda)

  • Mogadishu City Club (Somalia)

  • Jamus FC Juba (Sudan Kusini)

  • Mlandege FC (Zanzibar)

Pot 2:

  • Dadjè FC (Benin)

  • Rahimo FC (Burkina Faso)

  • Colombe Sportive (Cameroon)

  • AS Tempête (Jamhuri ya Afrika ya Kati)

  • Fundación Bata (Equatorial Guinea)

  • AS Mangasport (Gabon)

  • Bibiani Gold Stars FC (Ghana)

  • FC Fassell (Liberia)

  • Libya 1 (Libya)

  • Libya 2 (Libya)

  • Forces Armées (Niger)

  • East End Lions (Sierra Leone)

  • Real de Banjul (Gambia)

  • ASCK (Togo)

Makundi ya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26
Makundi ya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26

Pot 3:

  • Wiliete SC (Angola)

  • Gaborone United SC (Botswana)

  • US Zilimadjou (Comoros)

  • AC Léopards (Congo Brazzaville)

  • RD Congo 1 (DR Congo)

  • RD Congo 2 (DR Congo)

  • Nsingizini Hotspurs (Eswatini)

  • Lioli FC (Lesotho)

  • Elgeco Plus (Madagascar)

  • Silver Strikers FC (Malawi)

  • Cercle de Joachim (Mauritius)

  • African Stars (Namibia)

  • Remo Stars (Nigeria)

  • Côte d’Or (Seychelles)

  • Power Dynamos (Zambia)

  • Simba Bhora FC (Zimbabwe)

Pot 4:

  • Horoya AC (Guinea)

  • FC Nouadhibou (Mauritania)

  • ASC Jaraaf (Senegal)

  • US Monastir (Tunisia)

Pot 5:

  • ASFAR (Morocco)

  • MC Alger (Algeria)

  • JS Kabylie (Algeria)

  • Stade Malien (Mali)

Pot 6:

  • El Merreikh (Sudan)

  • Stade d’Abidjan (Ivory Coast)

Pot 7:

  • ASEC Mimosas (Ivory Coast)

  • Orlando Pirates (Afrika Kusini)

  • Atlético Petróleos de Luanda (Angola)

  • Rivers United (Nigeria)

CHECK ALSO:

  1. Orodha ya Vilabu Vitakavyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26
  2. CAF Yaitoza TFF Faini ya Dola 10000 kwa Kuvunja Masharti ya Usalama
  3. KIKOSI Cha Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025
  4. MATOKEO ya Taifa Stars Leo Vs Madagascar 09/08/2025