Matokeo Darasa la Nne 2025/2026 (NECTA SFNA Results) | Tutachambua kwa kina Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 NECTA au kwa jina jingine SFNA results ambayo hutolewa na NECTA (Standard Four Results 2025/2026), Kwenye makala ya leo tutachambua kwa kina jinsi ya kuangalia matokeo ya darasa la nne 2025/26 mara nyingine kwenye PDF amabayo yanatarajiwa kutolewa hivi karibuni Tutazame Matokeo ya darasa la 4.
Matokeo Darasa la Nne 2025/2026 (NECTA SFNA Results)
matokeo ya Darasa la Nne (SFNA) kwa mwaka 2025/2026, yaliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Pia, tutaelezea jinsi ya kuangalia matokeo haya, umuhimu wake, na maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu matokeo ya SFNA.

Kupitia SMS
Kwa wale wasio na intaneti, NECTA hutoa huduma ya SMS:
- Piga *152*00# kwenye simu yako.
- Chagua Elimu, kisha NECTA, na baadaye MATOKEO.
- Ingiza Taarifa za Mtahiniwa: Jaza namba ya mtihani ya mwanafunzi pamoja na mwaka wa mtihani.
- Fuata maelekezo yatakayotolewa kupata matokeo yako
- Kwa taarifa zaidi, tembelea tovuti rasmi ya NECTA: NECTA. https://necta.go.tz/ 2025
CHECK ALSO:






Weka maoni yako