Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa ARUSHA, Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,172,279 wanatarajiwa kufanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) utakaoanza kesho Jumatano Septemba 10, 2025 na kumalizika Septemba 11, 2025.
Katibu Mtendaji wa NECTA Profesa Said Ally Mohamed ametoa kauli hiyo leo Jumanne Septemba 9, 2025 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya mtihani huo muhimu wa kitaifa.
Kati ya hao, wavulana ni 535,138, sawa na asilimia 45.65, na wasichana ni 637,141, sawa na 54.35%. Hii inadhihirisha ongezeko la ushiriki wa wasichana katika elimu ya msingi, jambo linaloakisi mafanikio ya juhudi za serikali na wadau wa elimu nchini.
Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa ARUSHA
|
CHECK ALSO:
Weka maoni yako