Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Geita

Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Geita, Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,172,279 wanatarajiwa kufanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) utakaoanza kesho Jumatano Septemba 10, 2025 na kumalizika Septemba 11, 2025.

Katibu Mtendaji wa NECTA Profesa Said Ally Mohamed ametoa kauli hiyo leo Jumanne Septemba 9, 2025 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya mtihani huo muhimu wa kitaifa.

Kati ya hao, wavulana ni 535,138, sawa na asilimia 45.65, na wasichana ni 637,141, sawa na 54.35%. Hii inadhihirisha ongezeko la ushiriki wa wasichana katika elimu ya msingi, jambo linaloakisi mafanikio ya juhudi za serikali na wadau wa elimu nchini.

Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Geita

BUKOMBE

CHATO

GEITA

GEITA TC

MBOGWE

NYANG’HWALE

CHECK ALSO:

  1. Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Manyara
  2. Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Tanga
  3. Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Tabora
  4. Matokeo Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Singida