Matokeo JKU vs Singida Black Stars Leo 24/04/2024 Muungano Cup | Mechi ya JKU SC dhidi ya Singida Black Stars Kufanyika Leo Uwanja wa Gombani, Pemba – Muungano Cup 2025
Pemba, Tanzania – Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia tamasha la kipekee leo Alhamisi Aprili 24, 2025, wakati JKU SC itakapomenyana na Singida Black Stars katika Kombe la Muungano. Mchezo huu wa kusisimua unatarajiwa kutimua vumbi saa 11:00 Jioni kwenye Uwanja wa Gombani, uliopo kisiwani Pemba.
Mashindano ya Kombe la Muungano ni miongoni mwa mashindano muhimu yanayofanyika kila mwaka kwa heshima ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na huvutia timu bora kutoka pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Matokeo JKU vs Singida Black Stars Leo 24/04/2024 Muungano Cup
LIVE | JKU 0:0 SINGIDA BLACK STARS
- Mchezo unaaza saa 11 kamili
Timu yenye historia ndefu visiwani Zanzibar, JKU SC itakuwa nyumbani katika mechi hiyo muhimu. Kwa upande mwingine, Singida Black Stars kutoka Tanzania Bara inajivunia timu yenye vipaji na ari kubwa ya ushindani.

Mashabiki wanatarajia mechi yenye ushindani mkubwa kutokana na uimara wa timu zote mbili. Mechi hii pia inatarajiwa kuwa kipimo kizuri cha uwezo wa wachezaji kabla ya hatua ya mtoano ya michuano hii.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako