MATOKEO Tanzania Prisons vs Yanga Leo 18 Juni 2025

MATOKEO Tanzania Prisons vs Yanga Leo 18 Juni 2025, Mchezo wa Hatima Kwa Msimamo wa Ligi Kuu NBC | Mechi ya Alama 3 katika Ligi Kuu Tanzania Bara Leo.

Leo Juni 18, 2025 mechi kali ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC) itawakutanisha Tanzania Prisons dhidi ya mabingwa watetezi, Young Africans SC (Yanga), kuanzia saa 1:00 Usiku UTC. Mechi hii ni sehemu ya kampeni za mwisho wa msimu, ambapo kila pointi huhesabiwa kwa timu zote mbili.

Yanga SC kwa sasa inaongoza kwenye msimamo ikiwa na pointi nyingi, lakini pengo la pointi ni dogo sana ikilinganishwa na wapinzani wao wa jadi. Ushindi katika mechi hii ni muhimu kwa Yanga iwapo wanataka kuendelea kutetea ubingwa wao wa NBC kwa msimu wa 2024/2025. Hii inaifanya mechi hii kuwa ya kipekee kutokana na presha kubwa waliyonayo Yanga SC.

Kwa upande mwingine, Tanzania Prisons inayoshika nafasi ya 13 kwenye msimamo, inahitaji ushindi ili kuepuka hatari ya kushiriki mechi za mchujo. Kwao, pointi 3 za leo ni muhimu ili kujihakikishia nafasi ya kucheza Ligi Kuu.

MATOKEO Tanzania Prisons vs Yanga Leo 18 Juni 2025

LIVE  | TANZANIA PRISONS     0-0     YANGA

  • Mchezo kuaza saa 10:00 jioni
MATOKEO Tanzania Prisons vs Yanga Leo 18 Juni 2025
MATOKEO Tanzania Prisons vs Yanga Leo 18 Juni 2025

CHECK ALSO:

  1. Viwango Vipya vya FIFA kwa Mataifa ya Afrika 2025, Africa Nationa Team Ranking
  2. CAF Confederation Rankings za FIFA Club World Cup 2025
  3. KIKOSI cha Simba Leo vs KenGold 18/06/025
  4. MATOKEO Kengold vs Simba Leo Juni 18, 2025