Matokeo ya Al Masry vs Simba Leo 02/04/2025

Matokeo ya Al Masry vs Simba Leo 02/04/2025: Simba SC inaanza kampeni yake ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kwenda Misri kumenyana na Al Masry leo Jumatano. Mechi hii muhimu itachezwa saa 1:00 usiku. EST.

Simba SC yatetea heshima yake kama mgeni, Mnyama Simba SC anaingia kwenye mchezo huu akisaka matokeo mazuri ili kuweka msingi imara kabla ya mechi ya marudiano jijini Dar es Salaam. Wawakilishi hao wa Tanzania watalazimika kucheza kwa tahadhari kubwa dhidi ya Al Masry, ambao wanajulikana kwa rekodi yao kali ya nyumbani.

Matokeo ya Al Masry vs Simba Leo 02/04/2025

Matokeo ya Al Masry vs Simba Leo 02/04/2025

FT | AL-MASRY   2 – 0   SIMBA SC

Mechi hii ni muhimu kwa safari ya Simba SC. Simba SC imepania kufika mbali katika michuano hii baada ya kufanya vyema katika hatua ya makundi. Ushindi au sare ya bila kufungana ugenini itakuwa faida kubwa kwao kabla ya mechi ya marudiano wiki ijayo.

CHECK ALSO: